Wema Sepetu alivyopandishwa kizimbani leo kwa kesi ya Madawa ya Kulevya

LEO Mei 2, nyota wa sinema za Bongo, Wema Sepetu, alipanda tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar kusikiliza kesi ya tuhuma za kutumia na kukutwa na madawa ya kulevya ambapo upande wa Jamhuri umekamilisha upelelezi wa kesi inayomkabili msanii huyo.

Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, ameahirisha kesi hiyo mpaka June 1, mwaka huu ambapo mahakama itasikiliza maelezo ya awali ya upelelezi huo.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

*