TAARIFA KWA VYOMBO HABARI KUTOKA KWA IGP SIMON SIRO

MAUAJI KIBITI: Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema itaanzishwa Kanda Maalum ya Kipolisi eneo la Rufiji itakayoongozwa na Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Onesmo Lyanga.

 

Aidha, Sirro ameeleza kuwa matatizo ya maeneo ya Kibiti hayawezi kuisha kwa nguvu ya Polisi pekee bali yataisha kwa ushirikiano na wananchi wa maeneo hayo.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema itaanzishwa Kanda Maalum ya Kipolisi eneo la Rufiji itakayoongozwa na Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Onesmo Lyanga.

 

Aidha, Sirro ameeleza kuwa matatizo ya maeneo ya Kibiti hayawezi kuisha kwa nguvu ya Polisi pekee bali yataisha kwa ushirikiano na wananchi wa maeneo hayo.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*