SUPERSTAA ALIKIBA AMNUNULIA GARI MSANII AT

                Msanii AT mfalme wa mduara ambaye sasa yupo nchini Marekani amefunguka na kuelezea mambo mengi juu ya Alikiba na kusema kwa muziki ambao ameachia sasa Alikiba ‘Seduce me’ kuwa unathamani kubwa zaidi ya gari kwake.

 

AT amedai kuwa kitendo cha wimbo huo kupokewa vizuri ni ishara tosha kuwa umependwa na watu wamekuwa wakielewa muziki mzuri, aidha AT amefunguka kuwa kwa sasa nchini Marekani amepata mtu ambaye anamsaidia katika muziki wake.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*