RAIS MAGUFULI AKIONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO LIVE AT IKULU.

                                                            Rais Dk. Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 29, 2017. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi. PICHA NA IKULU

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*