MSAGA Sumu: Mwanaume Mashine imeniletea Mgogoro Mkubwa Kwenye Ndoa yangu..

Mwanamuziki ambaye pia ni hit maker wa ngoma inayosumbua kwa sasa ijulikanayo kama “Mwanaume Mashine” Msaga Sumu amedai kuwa ngoma hiyo licha ya kumletea mafanikio ya muda mfupi kulinganisha na ngoma zote zilizopita lakini ngoma hiyo imeleta mtafaruku mkubwa katika ndoa yake kwa madai kuwa amekuwa akipata usumbufu mkubwa kutoka kwa

 

madada wengi hapa mjini wengi wamekuwa wakimtaka kimapenzi mara baada ya kugundulika kuwa ana muhogo wa jang’ombe . ‘Wanawake wengi wamekuwa wakiahidi mambo kedekede ili mradi tu niwatimizie haja yao ya kimapenzi’ alisikika akisema hivyo msaga sumu ambaye pia aliwahi kutamba na ngoma ya

 

Wanawake wengi wamekuwa wakiahidi mambo kedekede ili mradi tu niwatimizie haja yao ya kimapenzi’ alisikika akisema hivyo msaga sumu ambaye pia aliwahi kutamba na ngoma ya UNANITEGA SHEMEJI.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*