MREMBO SHAMSA YUPO TAYARI KUACHIKA

             STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford ambaye ni mke wa ndoa wa mfanyabiashara Rashid Said ‘Chid Mapenzi’ amefunguka kuwa, yupo tayari kupewa talaka kuliko kuacha kazi yake ya uigizaji. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Shamsa alisema kuwa, ikitokea mumewe kumtaka aachane na uigizaji atamuomba talaka kwani hayupo tayari kuachana na kazi hiyo kwa sababu anaipenda na ndiyo iliyomtoa kimaisha.

Hata nikiambiwa nafunguliwa biashara ya mabilioni au nipewe hizo fedha ili niache kuigiza sitakuwa tayari kwa kweli, niko tayari kupewa talaka lakini siyo kuacha filamu japokuwa kwa sasa soko limeshuka lakini nitaendelea kuigiza mpaka mwisho wa maisha yangu,” alisema Shamsa.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

*