MREMBO AFUNGUKA KUHUSU UHUSIANO WAKE NA WEMA SEPETU

             Mwigizaji wa Bongo Aunty Ezekiel amekaa kwenye red carpet Mlimani City Dar es salaam kwenye uzinduzi wa movie mpya ya Wema Sepetu na kujibu maswali yasiyopungua matatu. KUHUSU UHUSIANO WAKE NA WEMA KUPUNGUA:

 

Mimi nahisi labda mazingira ambayo tunaishi, mimi nimenza kuishi na mtu na yeye amekua mwenyewe… labda mimi huku nakuwa busy na mtoto kwahiyo tunatofautiana mazingira ambayo tunaishi lakini kusema uhusiano umepungua kutokana na sababu nyingine sio kweli” – AUNTY EZEKIEL

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*