MENEJA WA DIAMOND PLATNUMZ NAE KAANDIKA HIVI TWITTER

Baada ya post ya Diamond Instagram iliyowekwa muda mfupi baada ya kutoka kwa kazi mpya ya Ali Kiba, Meneja wake Sallam Sk naye katumia twitter kuandika hizi Emoji za Kucheka kama alivyofanya Diamond.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*