KUTAJWA KWA JOKATE KIDOTI KWENYE JARIDA LA FORBES, IMEFANYA ROSE NDAUKA KUFUNGUKA MAZITO

Baada ya majina ya Watanzania kutokelezea katika jarida la Forbes la wajasiriamali wenye umri chini ya miaka 30, ambao ni Jokate Mwegelo na Lavie Makeup, limemfanya muigizaji Rose Ndauka kuamini kwamba hakuna kitu kinachoshindakana kwenye hii Dunia.

 

Kupitia kurasa yake ya Twitter, Rose Ndauka aliamua kuandika jumbe yake kwa kusema kwamba “Kitu ulichokifanya,unatuhakikishia hakuna kitu kinashindaka kwenye hii dunia! Its just a matter to decide and go for it”. Follow Rose Ndauka @RosseNdauka Kitu ulichokifanya,unatuhakikishia hakuna kitu kinashindaka kwenye hii dunia!

 

Its just a matter to decide and go for it @jokateM #proudRose Ndauka kuamini kwamba hakuna kitu kinachoshindakana kwenye hii Dunia. Kupitia kurasa yake ya Twitter, Rose Ndauka aliamua kuandika jumbe yake kwa kusema kwamba

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*